Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu amefikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu amefikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu.
Dickson Maimu ni wa 3 kushoto akiwa na wenzake muda huu katika Mahakama ya Kisutu.
Hapo awali mwezi January 2016, rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati bado kuna malalamiko kwamba watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mamlaka Vitambulisho vya Taifa (NIDA), na wenzake wasomewa mashtaka 26 Mahakamani Kisutu leo.
Watuhumiwa wote wamepelekwa mahabusu, kesi zao ziko kwenye kuhujumu uchumi na dhamana ya uhujumu uchumi inatolewa na mahakama kuu pekee..
Makosa mengi yako kwenye:
1. Exchange rate kwenye malipo, kwamba walitakiwa watumie za BoT na sio Benki yao.
2. Insurance
3. Double payments...
Ila kimsingi makosa yote yakijumlishwa, pesa zake si nyingi sana.... nilitegemea kusikia Bilioni kadhaa zimepotea baada ya mbwembwe tulizo sikia wakati wanaeleza matumizi mabaya ya karibu 179 Bilions ..... lakini imekuwa ni upotevu wa pesa za kawaida....

No comments