LIST YA MAJENGO 10 MAREFU ZAIDI AFRIKA, TANZANIA LIPO MOJA UNAJUA NI LIPI NA LIKO NAFASI YA NGAPI?
LIST YA MAJENGO 10 MAREFU ZAIDI AFRIKA, TANZANIA LIPO MOJA UNAJUA NI LIPI NA LIKO NAFASI YA NGAPI?
Hii ndiyo List ya Majengo Marefu zaidi Afika.
10. 88 on Field, Durban
Ni jengo la kumi kwa Urefu Africa, Liko katika mji wa Durban Afrika Kusini, lina Urefu wa mita 147 kama urefu wa kiwanja cha Mpira na Nusu hivi. Jengio hili lipo nafasi ya 10 kwa Afrika
9. Metlife Center.
Hili Ni jengo lililopo Cape Town lenye Urefu wa meter 150, Liko karibu kabisa na Cape Town International Convention Center. Jengo hili linashika nafasi ya Tisa kwa Urefu Afrika.
8. South African Reserve Bank Building
Lilifunguliwa mwaka 1988, liko katika jiji la Pretoria lina Floors 38, Urefu wake ni mita 150 sawa na Futi 490
No comments