PICHA: KILIVYO HAPPEN KWENYE BIRTHDAY PARTY YA RAYMOND
PICHA: KILIVYO HAPPEN KWENYE BIRTHDAY PARTY YA RAYMOND
Usiku wa August 22 ilifanyika Party ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii Raymond kutoka katika lebo ya WCB Wasafi.
Team nzima ya WCB ilikuwepo eneo la tukio pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika kulihakikisha mambo yanakwenda sawa katika sherehe hiyo.
Kikubwa kilicho make headlines katika Party hiyo ni kile kitendo cha uongozi wa WCB kumzawadia Gari msanii huyo kama zawadi katika siku yake hiyo muhimu.
Tazama hapa picha za baadhi ya matukio katika sherehe hiyo
No comments