MO Music afichua siri ya kutengana na Baraka
MO Music afichua siri ya kutengana na Baraka
Mo Music alikuwa ni memba wa kundi hilo lililokuwa likiundwa na wasanii kutoka lililojulikana kwa jina la WAZAWA, lililokuwa likiundwa na yeye (MO Music), Baraka The Prince pamoja na T Nocks.
Mo aliongeza kuwa "Kila mtu ana akili zake tofauti na utofauti huo ndiyo uliopelekea Wazawa kushindwa kudumu, mara nyingine miongoni mwetu wengine walikuwa wanajiona bora zaidi ya wengine".
Pia Mo Music aligusia kwa kusema sababu ya ugomvi wa Baraka na T Nocks kuwa ni wimbo wa So Fly, wimbo ambao ulimtambulisha Baraka vizuri hasa kwa mkoa wa Mwanza.

No comments