PICHA:Lucci Laciano Mwanamziki wa Jamaica Aliyejichora Tatoo ya Rais Magufuli
PICHA:Lucci Laciano Mwanamziki wa Jamaica Aliyejichora Tatoo ya Rais Magufuli
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
No comments