TIA YOTE 14
Mambo yanazidi kushika hatamu kwa gao akizidi tembeza kicha kwa wasichana je unajua mwisho wake endelea kusomaa.
STORY...TIA
YOTEE~14(ujana maji ya moto hayakawi kupoa)
MTUNZI..... G A O
WHATSAPP...0654387935
MTUNZI..... G A O
WHATSAPP...0654387935
ILIPOISHIAAAAAA..............baada ya kutoka shule njiani n mvua kuanza hapo nilishindwa hata kuvumilia, ilinibidi niingie katika moja ya nyumba ilikuwa maeneo yale yote ni kujikinga na mvua,niliingia bila hodi kitendo cha kuingia bila kutegemeaa ndipo nikakutana na loveness mwanamke niliekutana nae mwanzo katika machaka na kufanya nae tendo bila kutegemea, nilipoingia pale ndani alianza kushukuru kuniona tena akisema kanitafuta muda mrefu hakufanikiwa, haliile kwa akili zake fupi, akajua nitashawishika kufanya nae tena kama ile siku . Na mimi sikupenda kabisa kufanya tendo hilo siku hiyo hivyo alifunga mlango na funguo kisha akavua nguo zake na kubaki kama alivyozaliwa yani tupu...
TEREMKAA NAYOOOO.........niliona ni kitendo cha ajabu kwa Loveness kunivulia nguo zake zote na kuruhusu macho yangu kuuona kila kitu kilichomo ndani yake, japo kuwa nilipenda sana kufanya michezo hiyo ila siku hiyo, malaika wa wema walinijia na kumfukuza shetani mpenda watu kufanya maovu, nilikataa kabisa japokuwa alikuwa wazi ila sikushawishika.
"Loveness naomba niondoke zangu nipe funguo bora nikalowe na mvua ila sio kufanya mapenzi leo."nilipata ujasiri wa kuongea. Loveness alianza kukalamika huku akinijia karibu zaidi.
"Gao kidogo tu jamani nimemis shughuli yako isiyichosha please."
"Mimi siwezi kufanya,"
"Please jamani nimezidiwa kidogo tu nitalizika"alizidi kusema huku akinisogelea , na mimi nilizidi kumkwepa.
Chumba nilichoingia kilikuwa ni cha kulalia moja kwa moja mtindo wa nyumba ilikuwa kila chumba kivyake sasa nilichoingia ndio kilikuwa cha Loveness.
Niliendelea kukataa ila nilikuwa na shindana na nafsi mbili moja ikinitaka nikubali na nyengine nikatae, hivyo nafsi moja ilipata ushindi tena nafsi ya kunikubalia niende ila kwa masharti, nilipanga niende ila nikiwa na lengo la kukubali ili niichukue funguo na kuondoka zangu.
"sawa nimekubali tufanye."nilimwambia hapo akanirukia japo nimebeba begi langu la shule sikutaka niliweke chini.
"Umekubali gao,"aliniuliza huku kanikumbatia na nje mvua bado inarindima.
"yah, nimekubali."hapo alianza kunivuta kuelekea kitandani huku akiwa mbele na mimi akiniweka nyuma huku mikono yangu akiipitisha katika kiuno chake kilaini,tulitembea huku tamaa zikinikinijia ila moyo haukutaka kufanya hapo nafsi zilishindana kila moja ikiwa na maamuzi yake yakitaka kuuyafikisha kwa kiongozi ubongo anaeratibu matendo yote.
Loveness alilala kitandani akinisubiri na mimi nimlalie kwa juu hapo mimi macho yangu yalikuwa yakidadisi funguo ilipo, nilifanikiwa kuiona alipoiweka juu ya meza hivyo nilijifanya sijaona ndipo nikapeleka mkono wangu katika dodo zake nikimpagawisha ili nikimbie, nilianza kuyachezea nae akapagawa ndipo nikatoa mkono wangu na kuichukua funguo juu ya meza, kisha bila kutazama nyuma nikafungua mlango kwa fujo, kisha nikakimbia japo mvua ilikuwa inamwagika sikujali nilichojali ni kushindana na shetani la ngono lililokuwa katika orodha ya cv yangu tendo hilo nilikimbia huku nikijishaa mwenyewe..
'Leo nimekuwaje, yani nimekataa kufanya hivi hivi na alikuwa uchi mmh, haya mapya "nilijiwazia mwenyewe, kweli yalikuwa mapya sidhani kama chui yupo tayari kumwacha swala hata kama kashiba. Mvua nayoo ilikuwa mbioni kuacha kunyesha kabisa, kutokana na kutembea huku mvua ikinyesha nililowanika mwili mzima hata daftali zangu sikujua zipo katika hali gani wakati huu mana sikuzijali kabisa niliujali mwendo nikikimbia kuenda nyumbani ila begi langu sikukumbuka kama ndani lina daftali, nilitembea hadi hadi kifika nyumbani mvua ikiwa imeshaacha hata kunyesha.
Niliiingia ndani baada ya kuvua viatu vyangu vyenye matope yaliogandiana chini ya soli.
Baada ya kuingia ndani nilikimbilia chumbani kwangu kuwahi kuzivua nguo zangu zilizozidi kunipa baridi iliyonitetemesha zaidi, nikaufikia mlango wangu na kuufungua kisha nikaingia ndani kitendo cha kuingia nilivua nguo zangu na kuvaa taulo ili nitafute nguo za kuvaa ndani ya begi. Nilisikia minong'ono ya watu niliwagundua ni shangazi na wanae wakipiga soga, nilianza upeku peku nikitafuta nguo ya kuvaa nilifanikiwa kuipata hapo nikavaa na kuzichukua nguo zangu za shule tayari kwenda kuzifua.
Nilitoka hadi valandani kuelekea uwani.
",Shikamoo shangazi."nilimsalimia nikiwa pale valandani napita ndio akaitika na kuniambia.
"gao vipi mvua mwanangu"
"Daaah imenikuta nimelowa kweli.
"nilisema.
"Mmh pole sana"
"Asante,ngoja nikazitie povu ndio nijakula."nilisema, baada ya kuitika nikatoka nje nikimuacha anatizama runinga alikuwa peke yake hata wale waliokuwa anaongea nao sikuwaona,siku hoji nikatoka nje, muda huo giza ndio linaanza kuvutana kutengeneza usiku.
Nilichukua ndoo na maji na kuanza kuzifua nguo zangu zote nilitamani kukaa juu ys ndoo ila niliumia hasa pale nilipojaribu kukaa.
'Aaaii aaah"niligugumia, mwenyewe, mpaka nikajuta kwanini nilikaa mana makalio yalikuwa yamevilia damu kwa fimbo za sir lusinde alienivimbisha.
"Aaaah yani huyu mwalimu nitamkomesha hawezi nionelea kiasi hichi."nilijisemea huku nikifua kwa kuinama sikukaa tena nilifuma hima hima hadi nikamaliza sanjari na kuzianika, kisha nikaingia ndani kwenda kupata chakula mana hata njaa ilianza kuninyemelea.
Niliingia ndani wakati huu nikamkuta dhangazi na wanae pamoja na neema wanatizama runinga, nilipoingia tulisalimiana kisha sikupoteza muda nikaiendea meza haraka haraka, nilifika na kujipakulia kisha nikaanza kula muda huo giza limeingia kumaanisha ni saa moja tayari.
Nilikula upesi upesi kiasi kwamba kama vile simezi chakula,nilimaliza kula baada ya kunawa na kujisafisha vyema. Nikaungana na wenzangu valandani kutizama runinga.
Masaa yalianza kukatika tukiwa tunatizama runinga story zikiendelea huku mimi nikikaa kwa shida katika masofa yale nikiugulia maumivu sikutaka wajue.
Tulikaa pale mpaka muda wa chakula ukiwa tayari, shangazi hakuenda kula akidai ameshiba hata mimi pia sikuwa na sababu ya kutaka kula tena, hivyo tukabaki wawili mimi na shangazi.
Ndipo nikaakaanzisha mada, kwa kumtandika swali shangazi.
"Hivi shangazi baba yangu ni nani.?"nilimpachika swali lililomshangaza shangazi hadi kustuka.
"Haah, wewe mbona umeuliza hivyo.?"alishangazwa na swali langu.
"shangazi shule nimeandikishwa kama gao seif na baba anaeishi na mama anaitwa juma"nilinyoosha maelezo, hapo shangazi akiwa kama mtu alipata mshtuko kwa mimi kusema vile.
"Mwanangu nitakuambia siku ni siri hiyo ambayo imefichwa."alisema shangazi hapo alinipa maswali mengi ambayo kama yangekuwa yanahesabiwa yangejaa hata gunia.
"Siri.?"niliuliza kwa kuhamaki,shangazi aliposema ni siri.
"Ndio mwanangu nitakuambia siku,aliposema hapo ndio alizidi kunipa shauku ya kutaka kutaka kutaka kujua nilianza kumlazimisha aniambie tena kea kumbembeleza alikuwa kanita aliposema kuwa ataniambia yani ilikuwa ni sawa na pale unapo soma hadithi alafu inafikia utamu unaambia itaendeleaa, hivyo sikupenda kuona itaendelea nililazimisha shangazi aniambie.
"sawa nakuambia ila usimwambie mama yako kama nimekuambia."
"Sawa shangazi sitamwambia kabisa"nilizidi pigilia msumali ili aniambie tu.
"Sawa yani ilikuwa hivi......"kabla hajamaliza wakina neema,doreen na careen wakatokea hapo hakuendelea kutokana na kuwa ile ni siri, nilichukizwa na ujio wao nikiona ndio wamenikosesha kujua ukweli kuhusu baba kuhusu baba yangu.
Sikuwa na budi ya kuendelea kukaa niliwaaga na kuondoka nilijuafika hapo hataweza kunambia tena, niliingia chumbani kwangu ilikulala kuitafuta siku nyengine, nguo niliziacha uwani ziweze kukauka. Kisha nikavuta shuka na kulala.
kilipita kimya kirefu mpaka kunakucha ndio nikaamka muda huo haraka n kuzichukua nguo zangu nje tayari kwa pasi, nilizipasi na kwenda kuoga baada ya kumaliza kupasi.
nilioga himahima mpaka nikamaliza na kuvaa kisha kuwahi shule, nilianza kuitafuta njia ya shule nikitembea upesi upesi mpaka kufika, cha kushukuru muda huo huo ndio namba zinahesabiwa nilipata namba na kuelekea katika maeneo ya usafi.
Usafi ulifanyika mpaka muda wa paredi asubuhi ukafika tulipewa matangazo kadhaa na kuingia darasani.
Siku hiyo kipindi cha kwanza kilikuwa ni kiswahili nwalimu mhusika ni sir lusinde tuliingia darasani tukisubiri aje.
Siku hiyo ilikuwa tofauti sana Grace alianza kujipendekeza kwangu nikiwa nimekaa katika kiti changu nilimuona anataka kunirushia kikaratasi alicho andika nisome kabla hajarusha, mwalimu wa kipindi akaingia ambaye ni sir lusinde. Alisalimiwa na wanafunzi tukasimama ila mimi siku salimia, baada ya salamu wanafunzi tukakaa.
Kipindi kikaendelea, sasa Grace aliona ni muda wa muafaka ea kunitupia kikaratasi chake alicho kikunja vyema.
Kitendo cha kunirushia kumbe sir kaona.
"Gao hicho nini, ulichorushiwa njoo nacho hapa"'nilistuka kumbe kaona tena aliniita kwa jazba, nikaenda kinyonge.
",Nipe hiyo karatasi."alisema, hapo nikim tazama Grace anatapa tapa, darasa zima likinitazama sir alichukua ile karatasi na kuisoma.
"Hivi ni mimi ndio akili zenu embu soma wenzio wasikie upuuzi huu na unambie ulikuwa wamtumia nani.?"karatasi ile sir alijua mimi ndio nilikuwa namtumia mtu,hapo nilianza kutetemeka. Nikaanza kusoma.
",NISAMEHE KWA KUKUAMBIA VILE NAOMBA LEO JIONI TUTOKE WOTE NIKUAMBIE KITU KIZURI..........
INAENDELEAAAAAA MDA MCHACHE KUANZIA SASA TEMBELEA KILA mara HAPA

No comments