TIA YOTE 15
GAO AKIZIDI KUKUTANA NA MISUKO SUKOSUKO KWA KUMPENDA BINTI GRACE
STORY...TIA YOTEE..~15
(ujana maji ya moto,hayakawi kupoa)
WRITTEN BY...GAO
WHATSAPP...0654387935.
EMAIL..Gaoswagger@gmail.com
TOLEO LILILOPITAAAA.. Kitendo cha kunirushia kumbe sir kaona.
"Gao hicho nini, ulichorushiwa njoo nacho hapa"'nilistuka kumbe kaona tena aliniita kwa jazba, nikaenda kinyonge.
",Nipe hiyo karatasi."alisema, hapo nikimtazama Grace anatapa tapa, darasa zima likinitazama sir alichukua ile karatasi na kuisoma.
"Hivi ni ndio akili zenu embu soma wenzio wasikie upuuzi huu na unambie ulikuwa wamtumia nani.?"karatasi ile sir alijua mimi ndio nilikuwa namtumia mtu,hapo nilianza kutetemeka. Nikaanza kusoma.
",NISAMEHE KWA KUKUAMBIA VILE NAOMBA LEO JIONI TUTOKE WOTE NIKUAMBIE KITU KIZURI.......
SEREBUKAAAA HAPAAA...NAOMBA UNISAMEHE SANA TUWE KAMA ZAMANI NIME...."nilishindwa kuongea nikiwa pale mbele sir nae akinilazimisha nisome.
"soma upuuzi wako soma"alizidi kunididimiza zaidi halo wambea wa darasa hawakuacha kucheka vicheko vyao vya kimbea.
"nipe hiyo karatasi lete."aliniambia Na kunipokonya, tangia hapo nilipata kesi ambayo haikuwa Yangu kabisa.
"sasa uupuuzi nauhifanyi kwenye wallet Yangu nikamuoneshe MKUU wako wa shule upuuzi Huu.,alisema sir Bila kuongopa akaitia ile karatasi ndani ya pochi Yake ya rangi nyeusi.
"kwanza nikukute staff sawa kanisubiri Kule.,"alisema hapo sikupingana nae nilienda moja kwa moja staff kumsubiri.
Nilikaa Masaa kadhaa nae akaja Na kuniita ndani ya ofisi Yake.
"Gao wewe siku hizi umekuwa mhuni sio,"
"hapana mwalimu Mimi sio mhuni,nilikuwa naandika mwenyewe sijamwandikia MTU."tulizozana pale nikiiomba asije kunichapa akanitonesha maumivu.
"sasa nakuuliza maswali Yangu ujibu kama ninavyotaka ole wako unidanganye napeleka Huu upuuzii wako kwa MKUU wa shule."aliniambia.
"sawa Mimi nitasema ukweli,"
"unamahusiano gain Na madam jack,"alinipachika swali ambalo ni dhahiri lilionesha ni wivu.
"madam ni kama mwalimu wangu hatuna uhusiano mwengine."nilisema kwa kujiamini.
"unanidanganya sio eh.!"alisema,
"kweli mwalimu yule ni madam wangu tu" haku kubaliana Na majibu Yangu hivyo aliendelea kuning'ang'aniza ni mwambie ukweli.
tukiwa tunaendelea Na mazungumzo, mlango ukagogwa.
"nenda darasani."alinifukuza halo nikatoka Na kukutana mlangoni Na MKUU wa shule,nikampa heshima Yake kisha Na Mimi nikaondoka kuelekea darasani.
Nilipoingia wanafunzi wapo katika vikundi nikajiunga nao, kusoma kukaendeleaa.
Grace alikuwa ni wa kunitizama tu muda wote Na jicho lake LA mahaba sikumfatiliza tuliendeleaa kujadili mpaka muda ukaisha wa kipindi hivyo kazi zikakusanywa.
Kengere Nayo ya chai iligogwa Na wanafunzi wale wenye pesa wakatoka kwenda vibandani kunywa chai wale wasio Na kitu walibaki darasani Na kufungua daftari Zao kujisomea,Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wenye hela za chai hi yo niliwahi nisije kuta mwana so Wang yani "CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SI WAKO"nilikumbuka methali hiyo tuliyofundishwa shule za msingi.
Nilikimbia kuelekea kwenye chain bahati nzuri sijachelewa nilifika muda Huo Huo Na kupata chai nikioigugumia kwa pupa ilisababisha niungue ulimi nikaimwaga daah nilipofikiria Kuwa watu wameikosa hiyo chai niliyomwaga, wamekaa tu darasani nilitamani angalau ningewapelekea ila tayari ilishamwagika haiwezi kurudi tena, niliamka kuelekea darasani baada ya kumpa mama muuza pesa yake na kulifata jengo la choo kujisaidia kabla ya kuingia darasani, nilimalizahaja yangu na kuekeka darasa. Nilienda moja kwa moja nakukaa sehemu yangu ya kukalia nkitizama mbele, wakati huo hata wanafunzi walikuwa wachache bado Nilitumia muda huo kupitia daftari zangu kuzisoma kwa umakini nikimsubiria mwalimu aingie darasani,niliendelea kuzifunua nikisoma kwa kutizama kwa makini, dakika kadhaa kipindi kiligogwa hivyo kumpa nafasi mwalimu aje dalasani hapo wanafunzi wakaanza kuingia mmoja mmoja mpaka wakajaa wote ndio mwaliku nae aaja dalasani, alikuwa ni mwalimu wa somo la uraia au kwa kimombo au kisekondari tunasema ni civics, aliingia tukamsalimia kisha tuka kaa mwalimu huyo jina lake alilo kuja nalo shule anaitwa kakuma sondo nakumbukuka siku ya kwanza anajitambulisha kalibia wanafunzi wote pale paredi tulibaki midomo wazi na kucheka utambulisho wake mbele ya mkuu wa shule siku hiyo tulichalazwa na walimu wote kisa tu kucheka jina la mwalimu mgeni wa kiume, tulipendekeza tumuite sir sondo ili kuachana na adha ya kutamka neno ambalo ni tusi tayari, nakumbuka hatukuweza kuelewa maana ya jina lake kutokana na mwenyewe kutokulifafanua sisi tulijue ilikuwa ngumu kwetu kila akiulizwa anasema alitokea kenya kabla ya kuja tanzania kusoma chuo.
Na ni muda mrefu hivyo alikuwa kama raia wa tanzania, tulipenda sana ufundishaji wake hivyo tulimpenda pia yeye kwa upole wake japo muda mwengine anakasirika na kutuchapa ila sio kwa sifa kama sir fulani, tulipenda kuficha uovu wa sir lusinde kwa kutimtaja tukiwa kwenye story zetu hasa tunatumia jina la sir fulani.
Somo lilianza topic ya kwanza life skill ndio tupo, alianza kudadavua hasa mambo ya uongozi, aliendelea na somo huku akikimbizana na muda hasa kwani muda wake ulikuwa mwisho kuisha hivyo akaacha tu maswali akiyoandika ubaoni na kuondoka baada ya kutuaga.
Yapata saa sita muda huo lunch inakaribia, nilicopy maswali na kuanza kuyafanya nikiwa nafanya mara Grace akaja pale nilipokaa tena na kiti chake kisha akaa.
"Mambo gao."
"Poa ."nilijibu kama sitaki.
"Mh,mzima wewe."
"Niko poa."
"hivi sir alikuchapa"
'Sir nani.?"niliuliza kama sijui vile.
"Jamani yani umemsahau.!"
"sir nani sasa."
"Lusinde."
"Hapana."niliendelea na majibu yangu yale yale ambayo sikujua Grace anayachukuliaje.
"Sawa mwaya ngoja niende, aaah nimekumbuka leo naomba uje jioni tutoke wote gao."alisema huku akiwa kasimama.
"Jionii.!"Niliuliza kwa kushaangaa.
"Mbona hivyi jioni ndio."
"mh haya."nilijibu tu kwa mkato hali ikiyipelekea Grace kutokuvumilia akaondoka, alijua fika kosa alilofanya hivyo najua alikuwa akitafuta njia ya kujirudi kwangu.
Niliendelea na kazi zangu mpaka kengere ya lunch kugogwa kisha tukaelekea nje, tulitoka wanafunzi nje muda huo tukizongana zongana wenyepesa wakienda kula chakula kinachouzwa kwenye mgahawa uliopo shule.
Hatimae muda ukaisha tuliingia dalasani na harakati kuendelea msaa nayo yakitutupa mkono kila mtu akiwa busy na mambo yake, kimya kilitawala baada ya saa lusinde kuamrisha tunyamaze hivyo wote kimya tukakaa mpaka muda unaisha ikagongwa kengere ambayo wanafunzi wote tulijua fika ni ya lala salama yani ya mwishi ili tuelekee majumbani mwetu.
Tulifika paredi kusikiliza matangazo, Grace alikuwa ananitazama tu akijua nitamsubir tuongozane kumbe laaah sina mpango huo.
Matangazo yalifika tamati tukaruhusiwa na mimi nikaawahi kuondoka nikiongozana na kidato cha kwanza.
Tukiwa njiani ndipo walianza, michezo yao ambayo siipendi kabisa walianza kufukuzana fukuzana huku na huko huku wakicheka.
"Samahani kaka,"alinikanyaga mmoja na kuomba msamaha kusema kweli nilikereka mno ila nikachukulia ni watoto bado.
Niliwapita wale nikachepuka mbele huko napo hivyo hivyo, kweli watoto ni watoto tu walitembea kwa kushikana mikono na kuziba njia nzima, kila nikitaka kupita wanaziba mara ya kwanza ya pili ya tatu.
"Aaah sogeeni njiani bhana ni lazma mshikane."nikisema kwa jaziba hapo wakaachiana na kukaa kando na mimi nikapita na kutembea hatua ndefu hadi kufika nyumbani nikaingia kulikuwa kimya hakuna niliyemuona sijui ni kutokana na mimi kuwahi kurudi muda huo, niliingia chumbani kwangu kubadili nguo, dakika mbili zilitosha kabisa nikabadili na kutoka kwa ajili ya kula hali ilikuwa vivyo hivyo sikuona mtu.
Nilijipakulia na kuanza kubugia upesi upesi ili nikatembeee nilikuwa tayari na kududumia maji ya baridi kisha safari ya kwenda kuzurura ikaanza.
Nilitoka mpaka nje, nikapanga kwenda kusabahi marafiki mana ni kitambo hatujaonana njiani nilitembea huku nikiimba nyimbi zozote zinijiazo kichwani.
"Gao yule pale ngoja nikuitie sawa."nilisikia sauti kwa mbali ikinitaja ndio nikageuka kuangalia nikamuona ni mkali yule rafiki yangu akiwa na msichana aliejazia maungo hasa nyuma........
ITAENDELEAAAAA.

No comments