TIA YOTE 21
STORY....TIA
YOTE~21
(ujana maji ya moto,hayakawi kupoa)
WRITTER...GAO(Bright thinker)
WHATSAPP...0654387935.
ILIPOISHIAAAAA...........Nipo ndani ya shule baada ya kuingia tokea nyumbani ndio nikasikia sauti nyuma ikiniambia, sikumtambua haraka nikageuza shingo kumuangaliaa...............
ENDELEAAAAAAAAAAA....Niligeuza shingo upesi upesi nikiwa mwingi wa wasi wasi iliyonijaa vilivyo, kitendo cha kugeuka hapo uso kwa uso na sir lusinde, akivalia suti nyeusi na viatu vyake vyeusi vilivyoendana kabisa na suti yake huku mkononi akiwa kaishikilia briefcase(mkoba), aliyoshikilia na mkono wake wa kushoto.
"Aaaah, hapana sir.'",nilibabaika baada ya kumuona, hakuongea zaidi akaondoka tu na kuniacha nimesimama kama mtu aliyeshushwa na gari baada ya kufika sehemu asiyo ijua akiwa akishangaa shangaa, na ugeni wake.
Nilimpotezea na kuanza kuelekea darasani muda huo namba imekwisha hesabiwa wanafunzi ndio wanatawanyika mmoja mmoja.
"Oi gao niaje mkale"ni sauti ya jamaa yangu wa muda mrefu ambaye hatukuweza kuonana kwa kipindi kirefu hiyo ni baada ya kupata matatizo kidogo ya kifamilia.
"Safi ni vipi, frank upo poa"nilimjibu baada ya salamu yake akionekana mchangamfu.
"Niko poa jamaa,nambie."
"Safi vipi mama anaendeleaje ndugu.,"nilimuuliza swali ambalo ndio chanzo cha kumfanya abaki nyumbani.
"Daah, kaka nashukuru mungu, mama amepona kabisa na afya yake ipo imara."
"Aseeh, hongera sana jambo la kushukuru hilo." Tuliendeleaa kuongea maswala machache, kisha kwa pamoja tukaelekea eneo letu maalum la usafi.
Njiani tuliendelea kupiga soga mbili tatu za kukumbukana mana karibia miezi miwili hakuwepo shule, baada ya matatizo ya mama yake.
Tulifika eneo letu na usafi kuendelea, muda ulipepea haraka mpaka kuisha ndipo tukaelekea paredi kea matangazo na vipindi vya wakati huo. Nayo yalienda barabbara na uimbaji wa wimbo wa shule, siku hiyo ilikuwa tofauti sana walimu wote walifika paredi hapo mimi niliweka gutu kwa kuvibebanisha vidole vyangu cha katikati na cha pili kutokea gumba, waliopitia hatua hiyo wanajua.
Nilikuea nikiomba mungu nisitumbuliwe mana nilijisihi ni jibu tena lililoiva tayari, muda mchache mwalimu wa zamu akaanza kuongea kwa niamba ya walimu wengine ambayo pengine walikuja tu au wana ya kwao ya kuongea.
"Good morning scholar."alisalimia kimombo.
"Good morning teacher's"tuliitikia kwa pamoja wanafunzi wote. Baada ya salamu ndio akaanza kuongea.
"Wanafunzi leo ni siku ya ijumaa, mshudhurio yeni ni machache mno karibia nisu ya waafunzi hawapo sasa uongozi wa shule tukiambatana na mwalimu mkuu, tumeona tuandike majina ya wanafunzi wote mliohudhulia leo kwa kila mkondo a baada ya kuandika majina kutaendelea matangazo mengine. Aliongea hapo walimu karibia wote kasoro mwalimu mkuu, walimu walipita kwa kila mwanafunzi kuliandika jina lake mpaka wanamaliza hapo wakajisogeza mbele na karatasi zao walizo andika majina.
"Nadhani zoezi limeisha kila mwanafunzi jina lake tumeliandika, ambaye hajaandikwa atanifata sawa." Alisema mwalimu, yule na kumkaribisha mwalimu mkuu aseme alichokuja nacho siku hiyo.
"Habari zenu wanafunzi"alianza kwa kusalimia kama kawaida tukamwitika wote kwa pamoja, nae hakusita kuendeleaa kuongea.
"Wanafunzi,tunategemea kuanza mitihami yetu jumatatu, mitihani ya nusu mhula ambayo inaanza mwezi wa sita hivyo taarifa kwenu mjiandae mapema, pia taarifa kwa wale wote wenye madeni hamtafanya mitihani hii ikiwa mnadaiwa, hivyo leo mkirudi mchana mkawape taarifa wazazi wenu sawa."aliendelea kuongea huku gutu langu sijatoa, mana nilimuona kama lusinde ananitafuta.
Nilianza kujificha mana alitafuta kwa macho hivyo alinipa wepesi wa kujizuia kwenye vichwa vya wenzangu.
Baada ya mwalimu mkuu kumaliza tuliruhusiwa kuingia darasani hapo nikijiona mjanja bila kujua kinakuja nini.
Nikiongozana na frank kuelekea darasani huku story za kiujamaa zikiendelea kumwagika mana nilimkumbuka sana rafiki yangu huyo.
Tulitembea mpaka kuingia darasani, nilikuta kashapata makazi yani kiti na meza alikaa sehemu yake karibu na mimi. Muda mchache mwalimu akaingia tena lusinde na viboko vyake mkononi.
Walimsalimia baada ya kusimama, mimi sikufungua hata kimya changu niliweka gutu kama kawaida nikijua kila siku ijumaa kumbe kuna jumamosi mpaka alhamis, mimi nilijua siku ni moja tu.
Baada ya kumsalimia wote tukakaa pamoja na mimi.
"Wanafunzi nitakae mtaja hapa atakuja mbele kama hayupo mtasema nimuweke hayupo"aliongea sir lusinde.
"Maamaa,hivi sipo kweli pale nipo lazima"nilijisemea kimoyo moyo nikijua fika nipo,wanafunzi walikaa kimya wote hata kelele zilinyamaza.
"Sikiliza jina sasa,
SHABANI ISSA.
MWAJUMA MUSA,
FRIDA JOHN,
ESTER PAUL,
DANIEL STEPHANO,
AMIRI SHESHE."Aliendelea kuorodhesha majina huku nikiwa makini na gutu langu nimeweka, cha ajabu idadi ya wanafunzi aliokuwa akitaja wengi wao hawakuwepo hivyo wanafunzi walishia kusema 'absent' mpaka saa hiyo walitoka wawili tu, ikafika wakati akastop.
Hapo moyo wangu ulipoa nikijua nimepona.
"Alaah kumbe kuna haya."alisema baada ya kugeuza karatasi nyuma nilijawa na wasi wasi mpaka jina langu linatajwa.
"GAO NASORO."nililisikia hapo kwa upole nikaenda tu mbele.
"Aah mjanja huo, leo umekuja mwenyewe."alisema,hapo sikumfatiliza nikikaa mbele nikiwa mimi na wasichana watatu, jumla tukatimia wanne kidume nikiwa mwenyewe pale, mwalimu alikusanya fimbo zake alizoweka juu ya meza na kuanza kuondoka.
"Haya mfalme njoo na binti zako nimipe dawa."alisema maneni hayo huku akituongoza tumfate, nilichukizwa na maneno yake siku hiyo nilimtolea uvivu.
"aaah sir maneno gani sasa hayo."nilisema kwa kujiamini.
"Hey, ndio nishasema njoo bas na binti wenzio."alinitukana kuniita binti,alafu akaondoka akitegemea nitamfata.
"Sir mimi binti, tuone sasa kama nitakuja, sikufati katu."nilizidi kuongea kwa kujiamini tena ili kuonesha ninachosema nakimaanisha, nilifata begi langu na kumuaga frank jamaa yangu . Nakuanza kuondoka, sikumfata alipotuita hivyo niliondoka moja kwa moja nyumbani sikuangalia hata nyuma nilivaa sura ya kijasiri na ya kujiamini, nikitembea mwendo wa kibabe njiani mpaka kufika nyumbani.
"Gao, mbona mapema siku hizi."ni sauti ya ester iliyochokoa masikio yangu.
"Bhana, niacheee."nilimjibu kwa jazba na kuingia ndani moja kwa moja chumbani kwangu nikabadili nguo za shule na kutoka chumbani kwangu muda huo nilikaa kitako kutazama runinga sikubanduka nikila narudi kukaa hapo hapo tv ilininogea,mpaka inafika usiku hapo bila kuaga nikatoka nje niendako napajua mwenyewe nilianza kuikata njia inayoelekea njia kubwa ipitayo magari muda huo saa mbili mbili nikaelekea mpaka kwenye gari iliyosimama la abiria nikapanda nikiwa na nia ya kwenda kwa mama imma nikijiambia eti nimemmis sana hapi nikisahau kama ni mke wa mtu tena mumewe ni mwanajeshi aliekaa depo mwaka mzima mpaka kufuzu, yote niliyaona hayana mana kwangu.
Gari nililopanda lilinifikisha moja kwa moja mji mwengine, huko nyumbani kwetu nilishuka ili kutembea umbali mfupi ilikufika.
Nilitaka kuingia kwa tofauti siku hiyo nilitega mlangoni pale kama hakuna mtu niingie ndani moja kwa moja, kweli nilifanikiwa kimya cha pale ndani kilipelekea mimi bila haya wala aibu nilitaka kuingia kwa mke wa mwanajeshi ambaye alikaa dapo mwaka mzima kwa mafunzo ya jeshi mimi bila kuogopa nataka nikaibe mali za watu sikujali kukaa kwake depo na uanajeshi wake nilitumia kutokuwepo kwake.
Niliufungua mlango wa mama imma bila hodi na kuingia ndani nikiogopa kuonekana nje.
"Hah,gao umefata nini saa hizi huogopi?"aliongea kwa kushangaa.
"Hamna bhana kawaida mpenzi ondoa shaka."nilisema huku nikimkumbata hapo nikijivisha uhusika wa baba imma.
Nimemkumbatia ila alizidi kuwa na wasi wasi.
"Tulia bas waogopa nini."
"Bhana gao mimi naogopa tutafumwa wewe umekuja tu bila taarifa."alilalamika hapo mimi sikumjali ndio kwanza nilimwachia na kumshika vizuri alafu mkono wangu mmoja nikaupeleka katika ziwa lake la kushoto, akasisimka..................
ITAENDELEAAA

No comments