TIA YOTE 24
SIMULIZI:TIA
YOTE
SEHEMU YA 24
NA:GAO
SIMU:0654387935
ILIPOISHIAA SEHEMU ILIYOPITA..........Baada ya kujibanza banza sehemu kadhaa ikiwemo kwenye maua ya pale uwani, yote ni kukificha nisionwe na mtu.
Harakati zote zilikuwa bure kwani, nilipopata maamuzi ya kuingia ndani hapo ikawa kama kosa kitendo cha kufinya kitasa na kuingia ndani nikiurudisha mlango taaratibu bila kuangalia mbele ndipo namaliza sasa kurudoshia ile nageuka ili niondoke hammadi shangazi mbele yangu........
ENDELEAAAAAA SAAAA.........
Alionekana amefura zaidi kwa hasira hata sura yake ilionesha, hata lile tabasamu la sikuzote linalompendezesha uso, halikuonekana.
Siku subiri aanze kuongea nilianza kibabaika peke yangu..
"Aa aa nililala uwaniii."nilibabaika mithili ya bubu aliezoea kuongea kisha akapata kilema cha ghafla huku akijaribu kuitafuta sauti ikae sawa.
"Nimekuuliza.?"alisema shangazi hapo tayari alinimezesha woga, nikimuogopa kama anatisha.
"Hivi gao kwanini unataka kunipa presha eeh kwanini.?"aling'aka vilivyo hapo sikupenda kumzidishia hasira ilinibidi ni nywee kama piriton.
"Nimechoka kulazwa macho, nimechoka utaniua na presha urudi tu kwenu."alisema, shangazi hapo sasa ikawa kama kamshitua alielala udingizi wabkukesha kibaya zaidi ametumia maji aliyoyagandisha na friji.
"Nisameee shangazi nisamehe tafadhali nakuomba nisamehe sintarudia tena"nilimwaga maneno mfululizo,nikimtaka shangazi anisamehe.
"Mimi nimechoka kitendo ilichofanya sijapenda kumbuka mara ya pili ya kwanza umeondoka bila kuaga ikiwa nakuita leo umelala huko huko, mara nyingine si utafia uko uko umeona ulivyojaa vumbi, mimi nimechoka urudi kwenu"shangazi hakuregeza kamba hakutaka kunipa msamaha kabisa, alipo niambia nimejaa vumbi ndio nikapata nafasi ya kujiangalia,nilikuwa kama kikagula au kichaa aliejiogesha vumbi.
"Nisameheme shangazi tafadhali sitarudia nisamehe tu."nilizidi kuomba msamaha ila ikawa kama natwanga maji kwani shangazi alikuwa kakasirika sana.
"Careeen, careeeen"aliita kea jazba sikujua anamwita wa nini, nae muda mchache akaja kiupole mana tayari alijua hali ya mama yake.
"Abeeeh mama"
"nenda kule ndani anakolala huyu mpuuzi ukatoe nguo zake utie ndani ya begi ulete hapa, umesikia haraka "alisema kwa jazba hapo nilitulia kimya nikiona aibu kuomba msamaha mbele ya careen.
"Mama kwani kuna nini, na mbona gao kachafuka hivyo.?"aliongea kiipole careen.
"Nawewe sitaki maswali, nenda karete harakaa." Alizidi kupiga kelele, careen aliondoka kwa kujirazimisha hadi kuingia chumbani kwangu.
Kuondoka kwa careen ndio nilipata nafasi ya kuomba msamaha.
"Shangazi nisamehe, nakuomba nisamehe nitaenda wapi nisamehe usinifukuze."niliomba msamaha kwakulalamika na magoti nikapiga kabisa kumaanisha nauhitaji msamaha.
"Utaenda kwa mama yako, sipendi kulazwa macho, nimekaa hapo kwenye makochi muda mrefu nikisubiri uingie nilikuwa macho tu sasa mimi naona ukakae na mama yako tu."alizidi pigilia msumali tena wa inch nne akizidi ushindilia, kwa hali ile niliona msamaha ni ndoto nilikosa matumaini kabisa ya kusamehewa.
"Wewe, careeen fanya haraka."
"Namalizia mama."alisema careen, sauti ikitokea ndani, niliamka tu mana msamaha hakuweza nisaidia shangazi kakasirika hadi kumfanya atishe kama chatu aliejizungusha kwenye mti huku ulimi upo nje akisubiri mpita njia amtafune.
Muda mchache Neema akaja akitokea ndani alionekana kushangazwa na hali yangu akasogea hadi pale na Careen nae akatoka ndani kwangu huku kashikilia begi langu mkononi.
"Mama nini tena mbona yupo hivi jana alikuwa wapi.?"aliuliza Neema.
"nilishakataa maswali na wewe unauliza embu nyamaza huyu aende kwao."kitendo cha kusema vile ikawa kama kamsitua Neema, alianza kuniombea msamaha careen nae alianza kuomba yani wote wakijua wapo peke yao huku kila mmoja akizania mwenzake anasaidia kuomba kumbe ni mpenzi mwenza, kama mmoja wao au wote wangejua nimetafuna mpaka Ester na wao wawili sidhani kama wangeshiriki kuniombea msamaha tena ndio wangekandamiza nifukuzwe.
"Mama msamehe tu, muulize vizuri alipolala hujui kakutana na nini huko, msamehe mama tushamzoea sasa ukimfukuza tutabaki na nani."alilalamika neema huku machozi yakimtoka, nilijua fika anachogombea nisiondoke yote ni dushelele.
"Msiniletee uchuro wenu sawa."alisema shangazi.
Wakati huo tayari Alipoa japo sio sana,nadhani maneno ya Neema aliyasikia vizuri hapo akakaa kimya huku kisha akanyanyua kinywa.
"Nenda kaoge kisha ukivaa njoo hapa, nawewe pereka begi ndani.
"Asante shangazi kwa kunisamehe asante."nilisema na kuelekea bafuni kama alivyonambia, sikungoja aongee tena haraka niliingia bafuni na kuvua nguo zangu ambazo kabla sijavua nilijitazama sikuwa na tofauti na kigagula mana nilichafuka mnoo, sikujali nikazivua na kuanza kuoga nilitumia bomba la juu linalo mwaga maji chini baada ya kujiswafi na kujihakikishia nimetaka, ila wakati huo kwa mbali nilisikia kiuno kikiuma japo sio sana hata nilipopiga magoti kiliuma ila sikutaka shangazi ajue,nilichoona wakati huo ni kujinyosha ili hata kikaesawa, nilijibunua mikono kuireta nyuma na kicgwa nacho kikiangalia nyuma, ili kujinyoosha kiuno.
"Aaaahhhhhhhhhhhhh"nililalamika maumivu ya kiuno, sauti ambayo sikujua kama wanasikia walioko nje.
Sikuendelea nikaacha ila nilijiona kidogo kimekaa sawa hapo nikajimwagia maji tena, kisha nikajifuta maji na taulo lililokuwa juu ya mlango, nikatumia kuvaa lilelile.
nikazichukua nguo zangu chafu nilizoshika kwa tahadhali zisinichafue sasa wakati napita pale sebuleni na ushikaji wangu ule wa nguo kabla sijamalizikia hele zikanguka nusu shangazi aone.
"hizo nini.?"aliuliza.
"Hamna shangazi sio kitu."nilivyomjibu hivyo hakuendelea kuongea mana nilitupa na nguo chini ili kumpumbaza hapo nikajua hakuona kabisa kisha nikaingia ndani, nilivaa sanjari na kupaka mafuta,nilipo maliza nikakaa kitandani kupangilia maneno ya kwenda kumuongopea shangazi mpaka anielewe, nilitumia muda kupangilia nikijadili na kichwa tu.
Nilipohakikishwa nimetengeneza maneno ya kueleweka ambayo nikimwambia lazima akubali tu bila kipingamizi nikatoka sasa nikionana na shangazi aliekuwa ananisubiri kwa hamu nimulezee vyote vilivyonilaza nje.
"Mhuu ushaoga sasa nadhani mwili umechangamka, haya jana ulienda wapi na ulilala nje kwanini na kwanini umekuja umechafuka?."aliniorodhoshea maswali akiyokuwa akiyatakia majibu kwa ufasaha na mimi nikaanza kushuka essay ya kuongea maneno nilianza kuporomosha maneno ya uongo na kweli.
"Shangazi mimi nilipo ondika hapa moja kwa mojanilienda pale dukani kwa mangi tunapo kaaga na na kina twite sasa tumekaa pale tukipiga story huku masaa yakienda kutokana nabkunogewa na story sikukumbuka nyumbani niliendelea kubaki mpaka wakatokea watu ambao hatukuwafahamu walianza kutukimbiza na mapanga tulikimbia kwa kutawanyika kila mmoha akielekea kwake sasa bahati mbaya mimi nilielekea kwenye mapori huko alinifata mmoja ambae haku katatamaa alinifukuza kama mmbwa kila nikanguka nilikuwa naamka mana alinikimbiza kama masubwi nilidondoka mara kadhaa na kuamka kisha naendelea kukimbia mpaka nilimpoteza, baada ya kumpoteza porini ndio nimetafuta njia ya nyumbani kisha nilitokea barabarani niliifata mpaka kufika hapa, nako ilinibidi nilale nje tena chini baada ya kujua geti limefungwa ndio asubuhi nimeingia ndani baada ya kusikia mlango umefunguliwa, kufika hapa ndio tunakutana.,"nilihitimisha uongo wangu, ambao niliupa taswira kama ni ukweli.
"Haaah,pole mwanangu kumbe umepata tabu yote hiyo pole sana"alizidi kunipa pole akionekana amehuzunishwa na tukio lile.
Nilijipongeza kwa kuongea uongo ule uliomfanya shangazi aniamini.
Baada ya maongezi kufika tamati nilingia chumbani nikisubiri chai ninywe, shangazi nae akibaki pale sebuleni.
Nilitoka ndani na kuelekea meza ya chakula na kujilia mikate kadhaa na chai ya maziwa vilivyozidi nipa nguvu.
Siku hiyo ya jumamosi iliisha vizuri tu,nikionekana mpole isivyo kawaida yote ni kuwa na tahadhali juu ya shangazi asijenifukuza.
Muda ukikimbia kama umeme mpaka usiku unafika tunakula kisha nikaekekea chumbani kwangu kulala, nikiutafuta usingizi kila nikiutafuta unakataa kuja, hali iliyopelekea nijitokee tu kutizama runinga.
Nilikuwa peke yangu, natizama tv niko makini mara nashangaa nimekaliwa na neema sikumuona alivyokuja nilishangaa kanikalia na nguo yake ya kulalia iliyoacha wazi mapaja yake hasa upande wa nyuma kutokana na kupandishwa na kitonga alichofungasha............
ITAENDELEAAAAAA
.

No comments