Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke aliye poteza hisia
Tangaza nasi ili kukuza biashara yako, Leo.
Mawasiliano yetu 0654387935
Tendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya aina yake na furaha isiyo elezeka, lakini kuna watu ambao hufanya tendo kwa hali ya kulazimisha sababu yumo ndani ya ndoa.
mana huwa hasikii hisia wala tamaa ya tendo. ambapo huweza kusababisha ndoa kuwa chungu ana usalitiwaji wa ndoa.
SABABU
KIMWILI
1.) upungufu wa damu na madini ya chuma kutokana na kupata hedhi
2.) kutumia madawa ya kulevya
3.) magonjwa makubwa kama kisukari
KISAIKOLOJIA
a) kufanya kazi kwa muda mrefu
b) kukumbwa na wasiwasi na huzuni sana
c)kua na historia ya kubakwa au kuchukizwa na mapenzi
TIBA YAKE
KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE,
kisha tafuna pamoja nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).
utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.

- KUNGU MANGA robo kilo.
- KARANGA nusu.