kotii

kotii

Matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya

Matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya



Michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya katika msimu huu wa mwaka 2016/17 imeendelea usiku wa kuamkia leo kwa takribani makundi manne kuingia dimbani.
Arsenal ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani ilipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Basel ya nchini uswizi, magoli yote yalifungwa na Theo Walcott.
                                               38e5279b00000578-0-image-a-46_1475099169550
38e5279b00000578-0-image-a-46_1475099169550
Nao PSG ikiwa ugenini ilipata ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Ludogorets Razgrad ya nchini Bulgaria.
Besiktas imeenda sare ya 1-1 dhidi ya Dynamo Kyiv. Huku SSC Napoli ikiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Benfica.
Borussia Moenchengladbach ikiwa nyumabi imekubali kichapo cha 2-1 dhidi ya Barcelona. Na mchezo kati ya kati ya Celtic na Manchester City, ambazo walitoka sare ya 3-3.38e63da000000578-0-image-m-1_1475107188636

38e63da000000578-0-image-m-1_1475107188636
Atletico Madrid nayo ikiwa nyumbani ilipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Bayern Munich. Na FC Rostov ikiwa nyumbani ilitoka sare ya 2-2 dhidi ya PSV Eindhoven.

No comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();