Picha 20: Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza
Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30,
U
No comments