kotii

kotii

Dully sykes awa mkali kuzungumzia ugomvi wa diamond na dimpoz


DULLY Sykes Awa Mkali Baada ya Kuulizwa Kuhusu Bifu la Ommy Dimpoz na Diamond Msanii Dully sykes alimind watangazaji waliokuwa wanamhoji baada ya kumuuliza kuhusu bifu la diamond na ommy dimpoz Dully amesema hawezi kujibu hilo sababu huo ni u-shilawadu na yeye hapendi na ukizingatia wale ni 'wadogo zake' VIDEO: Tangaza nasi ili kukuza biashara yako, Leo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();