IRENE Uwoya Aachana na Bongo Movie, Asema Haiuzi Tena Siku Hizi
Tangaza nasi ili kukuza biashara yako, Leo.
Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka:
Download Android Application ya Udaku Special = Hapa