Yote aliyo yaongea Makonda leo akiwa kituo kituo cha Polisi Dar
Wajibu wetu ni kukuhabarisha kukujuza kila kinachojiri katika nyanja zote za burudani na michezo, usikae mbali nasi tembelea kila siku kwa burudani zaidi itakayo kata kiu yako.
Natoa siku 10 kwa kila Mwenyekiti wa Mtaa kwenye mitaa yote Dar es salaam kutoa taarifa za mtaa wake juu ya dawa za kulevya.
Natoa siku 10 kuanzia kesho kwa Wazazi, kama wewe ni mzazi unaishi na mtoto anatumia dawa za kulevya na unaishi nae, njoo utoe taarifa….. tukikukamata baada ya siku kumi na mwanao anahusika tutaamini na wewe ulikua sehemu ya kumfanya mtoto wako atumie dawa za kulevya.
Natoa siku 10 kwa Wafanyabiashara na Watumiaji wa dawa za kulevya, waje wenyewe Polisi kwa kamishna, kama umekua ukifanya biashara ya dawa za kulevya na umeacha njoo Polisi, nguvu tunayo, uwezo tunao…. hakuna kiunga tutashindwa kufika, hizi kelele nyingine zinatupa hamasa
Burudika nasi, na ujifunze nasi Kama tulivyokuhabarisha hapo jana kuwa msanii wa muziki Bongo, Alikiba anaona huko Mombasa nchi...
No comments