kotii

kotii

CHEKI MJENGO WA DRAKE HUKO TORONTO

Wajibu wetu ni kukuhabarisha kukujuza kila kinachojiri katika nyanja zote za burudani na michezo, usikae mbali nasi tembelea kila siku kwa burudani zaidi itakayo kata kiu yako.





Drake ameamua kuwapa kuwapa radha mashabiki zake kwa ujio wa mjengo wake mpya huko Toronto.
Tunajua kabisa Drake ndie anakimbiza Toronto, lakini Good Newz ni kwamba ndani ya muda sio mrefu Drake ataachia mjengo wake mpya huko Torronto ambao ni wakifalme zaidi, kupitia kurasa yake ya Instagram Drake alishare picha ya ramani ya mjengo wake ambao ataudondosha Toronto.
Mjengo huo unatajwa kudesainiwa na jamaa  Ferris Rafauli.


No comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();