Taarifa mpya kumuhusu Yusuph Mlela
BURUDANI KIGANJANI MWAKO.
TANGAZA NASI SASA......
Taarifa nyingine kutoka kiwanda cha Bongomovie ni hii inayomuhusu Yusuph Mlela ambaye a metangaza rasmi kuingia kwenye ubondia na yuko tayari kwa pambano muda wowote.
“Nimeingia kwenye ubondia lakini sio kama nimeacha kucheza filamu. Kwa sasa filamu zangu nafanya nchini Kenya na zinaonyeshwa kwenye kituo kikubwa hapa nchini Tanzania. Nimeingia kwenye ubondia kwa sababu hiki ni kitu ambacho nilikuwa nakipenda tangu utotoni.” – Yusuph Mlela.
“Kuna promoter alinifata kwa ajili ya kuaadaa pambano mimi na Nay wa Mitego lakini bado tupo kwenye maongezi. Simuogopi mtu yeyote ili mradi awe kwenye uzito wangu nitakuwa niko tayari kupigana naye.” – Yusuph Mlela.
Taarifa mpya kumuhusu Yusuph Mlela
Reviewed by Gaooh
on
June 23, 2017
Rating: 5
No comments